KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 278 Sep 10, 2012 #1 Hii redio inaitwa JAMBO RADIO GOLD na nyingine nyingi karibu dunia nzima nimekutana nazo baada ya kudownload hii proglam ya TUNE INN na kuinstall kwenye simu yangu ya Samsung.Nakula full burudani
Hii redio inaitwa JAMBO RADIO GOLD na nyingine nyingi karibu dunia nzima nimekutana nazo baada ya kudownload hii proglam ya TUNE INN na kuinstall kwenye simu yangu ya Samsung.Nakula full burudani
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,774 Reaction score 22,090 Sep 10, 2012 #2 Hebu fafanua umesema hivyo kwa kuwa majina yanawiana au?
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Sep 10, 2012 #3 Ungefunguka zaidi nadhani ndo ungeeleweka zaidi
Kunguru Mjanja JF-Expert Member Joined Aug 22, 2012 Posts 2,047 Reaction score 3,979 Sep 10, 2012 #4 Jambo Radio Gold - Dodoma - Listen Online
bluetooth JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 4,401 Reaction score 2,559 Sep 10, 2012 #5 Nimeamini kweli wewe ni KIBURUDISHO
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Sep 10, 2012 #6 mdizi said: Nimeamini kweli wewe ni KIBURUDISHO Click to expand... mmmmhhh na wasiwasi na comment yako ndugu maana ni tata balaa
mdizi said: Nimeamini kweli wewe ni KIBURUDISHO Click to expand... mmmmhhh na wasiwasi na comment yako ndugu maana ni tata balaa
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,259 Reaction score 7,107 Sep 10, 2012 #7 Kuna tofauti kati ya jambo & jamii .. Mkuu kiburudisho
Lokissa JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 7,445 Reaction score 2,509 Sep 10, 2012 #8 nakula full burudani pia Jambo Radio Gold - Dodoma - Listen Online
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,555 Reaction score 94,274 Sep 10, 2012 #9 Wabeja sana viburudisho na mashosti.