Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Dec 24, 2014 #21 Evelyn Salt said: Hadi nkatamani kuwa mkewe....:becky: Click to expand... teh teh teh Na skukuu hii shouger sipati picha atakavo pambwa hahah rahaaaa
Evelyn Salt said: Hadi nkatamani kuwa mkewe....:becky: Click to expand... teh teh teh Na skukuu hii shouger sipati picha atakavo pambwa hahah rahaaaa
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,841 Dec 24, 2014 #22 Khantwe said: Hivyo eeh? Ngoja na mimi nijaribu nione kama ntaweza.. Cc Honey Faith Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema my wii na mie nachepuka? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Khantwe said: Hivyo eeh? Ngoja na mimi nijaribu nione kama ntaweza.. Cc Honey Faith Click to expand... Kwa hiyo unataka kusema my wii na mie nachepuka?
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 62,085 Reaction score 127,799 Dec 24, 2014 #23 Honey Faith said: Kwa hiyo unataka kusema my wii na mie nachepuka? Click to expand... Nakutaarifu kwamba naanza maisha mapya
Honey Faith said: Kwa hiyo unataka kusema my wii na mie nachepuka? Click to expand... Nakutaarifu kwamba naanza maisha mapya
mwalimumzalendo1 JF-Expert Member Joined May 19, 2014 Posts 1,098 Reaction score 407 Dec 24, 2014 #24 Hongera sanaaa👏👏👏
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,841 Dec 24, 2014 #25 Khantwe said: Nakutaarifu kwamba naanza maisha mapya Click to expand... Haya my wii hivyo ndivyo inavyotakiwa
Khantwe said: Nakutaarifu kwamba naanza maisha mapya Click to expand... Haya my wii hivyo ndivyo inavyotakiwa
mwalimumzalendo1 JF-Expert Member Joined May 19, 2014 Posts 1,098 Reaction score 407 Dec 24, 2014 #26 Evelyn Salt said: Mmmmh mwanaume?umeachana na michepuko? aseee ww wa kipekee hongera... Click to expand... Saanaa na anastahili pongezi nyingi
Evelyn Salt said: Mmmmh mwanaume?umeachana na michepuko? aseee ww wa kipekee hongera... Click to expand... Saanaa na anastahili pongezi nyingi
S Second Fiddle JF-Expert Member Joined Dec 9, 2014 Posts 469 Reaction score 122 Dec 24, 2014 #27 Mmmmhh!!! Si vibaya lakn kujaribu kuhamasisha wengine wakabaki njia kuu ili michepuko tuipate kiulaini na cheaply! Good idea!
Mmmmhh!!! Si vibaya lakn kujaribu kuhamasisha wengine wakabaki njia kuu ili michepuko tuipate kiulaini na cheaply! Good idea!