Mimi naona kwa mbali V8 zinakuja hapo no tofauti sababu V8 limejazwa mafuta linafuata hizo bodaboda na hizo boda boda zimejazwa mafuta na serekali sasa nini cha ajabu kama sio kusikitika.
View attachment 160899
kwa nini mnang'ang'ani mashangingi kama inawezekana kupanda Bodaboda?
acheni maigizo, you can fool some people
sometimes...........................
View attachment 160902
akitoka hapo anakwenda kwenye shangingi lake