Salaam,
Mwenyekiti mstaafu hakuwahi kukabidhi ofisi, na aliyekabidhiwa ilibidi anyamaze tu, maana sasa utasema nilikuta hilli na hili halikuwepo, nani shahidi?
Jambo Hilo Hilo limejitokeza kwa aliyekuwa balozi huko jirani na kwa akina Trump, ameachia ofisi bila kufanya makabidhiano,
Sasa jambo hili linaweza kuwapa mahasimu wake mwanya wa kumchafua kwamba amekimbia na mikoba ya ofisi.
Ushauri: Uwekwe utaratibu mzuri wa kisheria wa kukabidhi kwa wenye kuachia ofisi kwa njia kama hii ya balozi na Mkt mstaafu.
Nawasilisha 🙏