Kumbe inaruhusiwa...hii eeeh

Mkuu ibada siyo viatu tuu hata unapo tembea barabarani unatakiwa umkumbuke mungu wako awe mbaei haunekani au ambaei ameonekana na zaidi ni nafsi na ulime maana ulime huwa hauna breki na mtaji wa ibada ni umbea na kusengenya mtu bila sababu yoyote na ndio sifa ya mwanadamu wa leo
 
Ina maana hawamuamni 'mungu' wanayemuomba kuwa anaweza kuwalinda...wanaamini binadamu wenzao watawalinda wakati wao wakiswali!?
haina uhusiano..watu wangelala milangowazi baada ya sala..
 
Ina maana hawamuamni 'mungu' wanayemuomba kuwa anaweza kuwalinda...wanaamini binadamu wenzao watawalinda wakati wao wakiswali!?
Riwa je wewe una amini mungu ?,au kanisani kwenu wana amini mungu?, hakuna walinzi kwenu? Tumia akili usiwe una andika ovyo ovyo mkuu
 
Last edited by a moderator:
HUyo mwenye viatu mbele haswali bali anaswalisha,wanaoswali nyuma yake wamevua viatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…