Kumbe huu utapeli bado upo?

Kuna siku niko kituo cha mwendokasi asubuhi tunasubir gar mara akaja Mama mmoja anaanza michongo ya ooh nna madini nauliza wap ntapata mnunuz mzur, Nikajibu to kistaarabu mie sifaham kwa kwel

Mara akaja mshkaj pemben yangu Ooh mim napajua kama vp tumpeleke nkamwambia kama unapafaham we nenda nae tu.

Yule mama akaanza unaonekana mwaminifu naomba twende wote tu kwa usalama maana mie mgeni hapa mjini

Nikawaangalia wote nkawajibu tu huo Utapeli wenu ntawapelka kwa yule askari pale msinizoee.
Dakika mbili nying naona hao wanaondoka na hawakupanda tena mwendokas wakatokomea nje huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀 😀 😀 😀 😀
Ulifanya vema mkuu. Tapeli usimpe nafasi ya kumsikiliza.
 
Hii ni kama ajali kama ukiwaamin hao watu, mwez wa tatu nilikuja Dar kwa ajili ya kuchukua usafir beforward nikasema nilale lodge moja pale ubungo maziwa asubuhi jmos nikawa nataka nikalipie handling pamoja na wharfage, nikaenda pale ubungo plaza kutafuta CRDB pale ndani, ilikua mapema sana kwenye saa tatu kasoro nimeingia natafuta kumbe mle ndani haipo nikatafuta wakumuuliza nikamuona mlinzi nikaenda kumuuliza akasema hapa haipo hadi pale shekilango.
Nikaondoka mdogo mdogo kumbe kuna mtu alisikia sijui aliambiwa na yule mlinz maana ile natoka tu akaja mzee kama miaka 60 hiv ananiambia nimeambiwa hapa haipo hadi kule shekilango si unaenda basi twende me sipajui nikawaza nimjibu au nimwache, nikamwitikia kwa kichwa nikajisemea leo kama ni tapeli nakufa nae.
Nikafikiria jins ya kumkwepa kwanza, nikavuka barabara upande ule wa urafiki nikawa naenda taratibu nikageuka ghafla namkuta nyuma yangu nikasema leo simba lazima ale nyanya kama ni mchezo hapa moja moja nikasimama ghafla akapita nikaanza mfuata nyuma na yeye , akawa anaongeza speed huku anaongea na sim nami naongeza ananiangalia kwa jicho la pemben mbelen kuna mwenzake aliekua anaongea nae akafika pale akasimama nae nami nikawapita nikaenda kusimama mbele yao nikawa nafanya kama naongea na simu maajabu sasa ile nimegeuka hiv sikumwona hata mmoja na pale hakukua na boda kwamba wamepanda au kama kuna sehem wamejificha nikajisemea Mungu yu pamoja nao, nikaita zangu UBER nikaenda MCity.
 
Dogo katapeliwa kimasihara...
Atakuwa mwenyewe dogo, alitegemea angepata chochote kitu tokea kwa mzee...

Everyday is Saturday................... 😎
 
Sawa mkuu. Si watu wote wanaelewa haya mambo. Kama wewe uko vizuri fresh tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulipona chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Braza hawa jamaa dawa yao ni kutowapa muda kuwasikiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…