Kumbe hua iko hivi.

Wanaume wanaonuka ufukara nazan hiyo ya tatu inawahusu 1 kwa 1.
 
Ndo maana nikiskia hilo neno "Nikwambie kitu najikutaga naongea mwenyewe" leo ndio nimejua tatizo
 
Baby nikwambie kitu, "ngojea nitoke hewani,subir kidogo Baby cuz somebody is calling me...wait for a second" halafu unamtafuta baada ya siku mbili ukiwa umejipanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…