hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 540
habarini ndugu zangu wanajf.kuna msichana mmoja kaharibu siku yangu Leo baada ya kumtumia text kuwa nampenda..uyu msichana ni mzuri ile mbaya na nilifanikiwa kuzoeananae sana na nilifanya vitu kibao nimwonyeshe nampenda ka kumpa zawadi Na mara nyingi kuchatinae ila leo bada ya kuingizia iyo mada akanijibu "am an older dan you"..aaah nkaona ilo swali rahisi tu yani nkajibu "age does not matter"..apo ndo ikaanza mada nyingine yani anauliza maswali kama anahisi nataka nimchezee tu na hili swali limenifanya nimute kwanza.."kipi unachotaka unidanganye nisichojua Mimi??haijawai tokea nimekosa swaga kama Leo...na uyo msichana kanizidi miaka miwili tu....msaada jamani apo au ushauri kwangu. ...ntawashukuru
inamaana yeye anaingia form 4 na wewe form 2?
simple mnunulie kitabu cha hesabu cha nyambari nyangwine.
lazma aone kuwa uko serious na unapenda shule.
akiendelea kukataa msemelee kwa mwalimu, coz ushahidi utakuwa nao.

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ......
mkuu we ni mjanja balaaa..
sasa kwa utafiti unamtaka nani?
miss neddy ama Honey Faith?

"age does not matter". Mbona ulimjibu vizuri sana tafuta point sasa za kutetea hoja yako na ukumbuke hiyo ni sanaa ya kushawishi kama huna ako kakipaji nicheki pm unipe namba zake nijilipue hooligan01