The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,710 Oct 28, 2012 #2 Sipati picha wamanga wanavyozobokea Papperoni na kitimoto fichi!
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Oct 28, 2012 #3 Hapo Pakistan bwana...cha ajabu kipi?
H hippocratessocrates JF-Expert Member Joined Jul 1, 2012 Posts 3,598 Reaction score 1,545 Oct 28, 2012 #4 hhm!hivi huyu jamaa Mc'D ikiamua kumshtaki?..duh?
UKI JF-Expert Member Joined Jun 12, 2012 Posts 691 Reaction score 173 Oct 28, 2012 #5 anajitafutia matatizo tu akiamua kushtakiwa na McDonalds itakuwaje? maana hata hiyo fees ya kulipa ukiangalia hicho kibanda uwezo hana. bora angeandika Micdonalds kubadilisha kidogo apate la kujitetea.
anajitafutia matatizo tu akiamua kushtakiwa na McDonalds itakuwaje? maana hata hiyo fees ya kulipa ukiangalia hicho kibanda uwezo hana. bora angeandika Micdonalds kubadilisha kidogo apate la kujitetea.