twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Nimejifunza kwamba sio kila kushobokewa ni kupendwa wakati mwingine unaweza shobokewa ili utumike kwa nia ovu.Umejifunza nini
Apia..Weka videoNyie wote watatu ni wabaya kwasababu ya UZINZI,kwanini msiowe wakati mnawaka tamaa kama Bata?
Mkuu funguka.Unamaanisha nini?Mapenzi ni mchezo mchafu.
Siamini mapenzi najua huwa yale ya mwanzo yanaisha
Alikuwa na nia ovu.Mtu wa visasi.Jasiri haachi asili.Ni bora ulivyomuacha kwani na wewe angekumwaga. Huyo binti anapenda wenye nacho, sasa siku ukichacha tu anakumwaga.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Mkuu kama nilivyoeleza hapo awali kwenye paragraph ya mwanzo binti alionekana kuwa na dharau na jamaa na dizaini kama alitaka kumtawala , mchizi akaona asiwe mnyonge ilibidi siku moja amtie mbata na hapo ndo ikawa mwisho wao.Na kwa ghafla sana akanikubalia ombi langu lililodumu yapata miezi 6 tena kwa kasi ya ajabu sana.Kumbe lengo lake amkomoe jamaa.Nilihuzunika sana baada ya kuja kupata ukweli huu.Ulikosea sana kumwacha bila kujua sababu zao za kuachana na tayari binti ameshaonyesha uaminifu kwako
nda maana akasema ukiona vya nini wenzako wanasema watavipata lini.
Nyie wote watatu ni wabaya kwasababu ya UZINZI,kwanini msiowe wakati mnawaka tamaa kama Bata?
Ulikosea sana kumwacha bila kujua sababu zao za kuachana na tayari binti ameshaonyesha uaminifu kwako
nda maana akasema ukiona vya nini wenzako wanasema watavipata lini.
Mkuu kama nilivyoeleza hapo awali kwenye paragraph ya mwanzo binti alionekana kuwa na dharau na jamaa na dizaini kama alitaka kumtawala , mchizi akaona asiwe mnyonge ilibidi siku moja amtie mbata na hapo ndo ikawa mwisho wao.Na kwa ghafla sana akanikubalia ombi langu lililodumu yapata miezi 6 tena kwa kasi ya ajabu sana.Kumbe lengo lake amkomoe jamaa.Nilihuzunika sana baada ya kuja kupata ukweli huu.
Mkuu Mgirik nimekusoma.Ahsante sana.Kwa kweli niliona kabisa yule binti hakuwa na busara na hatari kubwa ilikuwa inakuja mbele yangu kufuga aina iyo ya mabinti vigeu geu na wenye roho za visasi ni hatari sana kwako na familia yako mbele ya safari.Aliumia sana ila nafikiri ule msemo unaosema usimtendeee mwenzio usilopendwa kutendewa ipo siku yatakurudi umetimia.Maisha yanaendelea.mkuu twende kaz mm nakusifu sana kwa uamuzi uliyofanya, ni wanaume wachache wanaoweza kutambua maumivu ya wenzao. Na ulitumia busara na fikra za mbali sana kujua kuwa yule manz hakukupenda ila alikutumia ww kama fimbo ya kumchapia mshikaji wake
Ahahahah..mkuu achana naye huyu.Hajasikia tafiti kwamba asilimia kubwa ya wanaoambukizwa VVU ni walio ndani ya ndoa?Aibu yake.we umeoa halafu imekuwaje?!.
Mkuu Mgirik nimekusoma.Ahsante sana.Kwa kweli niliona kabisa yule binti hakuwa na busara na hatari kubwa ilikuwa inakuja mbele yangu kufuga aina iyo ya mabinti vigeu geu na wenye roho za visasi ni hatari sana kwako na familia yako mbele ya safari.Aliumia sana ila nafikiri ule msemo unaosema usimtendeee mwenzio usilopendwa kutendewa ipo siku yatakurudi umetimia.Maisha yanaendelea.