Kumbe hawa wavaa sketi wetu kumbe ni bure kabisa

Mbona unamsema mke wako kila siku?? unataka tumuone mkeo mbulula au?? mapenz gan.haya au mmeoana last wik au umemchoka em.muache aish anavyoweza ww unataka ajue Escrow il imsaidie nn ww unayejua escrow hizo hela walizoiba washakupa apo ata mia.. akijiweka busy na escrow utafua.kupika na kaz nyingne ww em mkaushie uyo mwanamke kila kitu akifanya sio lazima useme hapa inakua kama unatupa story ya maisha yako ya ndoa kitu ambacho hatuitaji ww unashangaa yeye kukarir number alafu asahau escrow kuna wengine wanakariri number wanasahau ata umri wao na waume zao.hawaleti kelele hapa embu jielewe bana mim sijaoa umri wangu ni 21 niko chuo bado but nakuona wewe kama form3 tu utafanya sisi tuwadharau nyie mliooa alafu hamuwez kutunza siri... done. ;-)
 
Nafurahi majibu mengi yamenyoosha akili ya mleta uzi. Kwa nini ulete affairs za chumbani na mkeo kwenye social media.? Wewe kila siku kumsema mkeo hadharani huoni aibu? Ulipewa koromeo na kifua cha nini? Upu.mbavu mtupu.
 
Yaani huyo mwanamke mmoja ndo akupe haki ya kutoa hitimisho hilo dhidi ya wanawake wote. Unakosea sana.

kabisa hawezi kujumuisha wanawake wote duniani kwa sample ya mtu mmoja ambaye pia hajui kuwa alikuwa akimuuliza kwa maana gani labda coz wanawake wengine wanapenda kupima ufahamu na uelewa wa wenzi wao
 
Hao ndo hata kwenye uchaguzi wanachagua tu kwa maagizo ya mjumbe wa mtaa ambae atakuwa amewapa kanga.
 
Mbona unamsema mke wako kila siku?? unataka tumuone mkeo mbulula au?? mapenz gan.haya au mmeoana last wik au umemchoka em.muache aish anavyoweza ww unataka ajue Escrow il imsaidie nn ww unayejua escrow hizo hela walizoiba washakupa apo ata mia.. akijiweka busy na escrow utafua.kupika na kaz nyingne ww em mkaushie uyo mwanamke kila kitu akifanya sio lazima useme hapa inakua kama unatupa story ya maisha yako ya ndoa kitu ambacho hatuitaji ww unashangaa yeye kukarir number alafu asahau escrow kuna wengine wanakariri number wanasahau ata umri wao na waume zao.hawaleti kelele hapa embu jielewe bana mim sijaoa umri wangu ni 21 niko chuo bado but nakuona wewe kama form3 tu utafanya sisi tuwadharau nyie mliooa alafu hamuwez kutunza siri... done. ;-)

saaafi sana.
 
Hivi unadhani mwanaume aliyekomaa korodani zake huwa anaongea ongea habari za nyumbani na affairs zake na mkewe?

Ninyi vijana wa kizazi hiki sijui mna shida gani, ndio maana wengi wenu hata hamjulikani jinsia zenu...

Mnakera sana na mnafaa kutiwa bakora...

Asavali umesema....yeye pamoja na kuvaa suruali kumbe huko mkichwa ni division 5!
 
Sio kwamba hawana akili
Issue iliyomfanya akariri namba ya simu ilikua na kipaumbele kwake, issue ya escrow kwake haina kipaumbele.
Kuna watu wanajua issue za mpira wa timu za ulaya utadhani wanaishi huko, ukiwaleta kwenye siasa hawajui, pia kuna watu wako makini kwenye mpira lakini wakati wako shule mambo yalikua magumu sana kiasi kwamba hata kukariri kitu kidogo sana bado hawawezi.
Hapa ni matter of preference(kipaumbele) sio akili wala ujinga.
 
Back
Top Bottom