Kumbe hata wao ni waoga pia... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe hata wao ni waoga pia...

Discussion in 'International Forum' started by Bantugbro, Apr 28, 2011.

 1. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kampuni ya Unilever ya Kenya imekwenda mahakamani kujaribu kuzuia bidhaa (sabuni na manukato) za kibongo zinazotengenezwa na kiwanda cha Tanga zisiingie kwenye soko la Kenya.

  Ni muda mrefu sasa waKenya wengi wanazipenda bidhaa za Tanga kutokana na ubora wake wa juu na bei poa ukilinganisha na bidhaa za Unilever...

  EAC common market itawezekana kweli kama mambo yenyewe yataendelea kuwa hivi. Ikumbukwe pia maofisa forodha wa Kenya wamekuwa wakibania maziwa ya paketi yanayozalishwa na Musoma diaries yasiingie kwao kwa kuwawekea msururru wa kodi n.k..

  Endelea na chanzo hapo chini:

  Tanzanian firm sued over 'LUX' soap trademark row
   
 2. T

  Tall JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.hawa jamaa ni wajanja.
  2.watafaidika zaidi wao kuliko sisi.
   
 3. n

  nomasana JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 789
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  this is certainly in the spirit of the EAC! unilever should stop the nonesence. let the market descide which goods are better.

  kenya and south africa are the only two nations in africa that produce enough milk for domestic use and have a surplus to export so it will be very hard for tanzanian milk products to do well in the kenyan market
   
 4. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  The problem is not the competition but rather the red tape (protectionism) by the custom or G.o.K guys.

  A.F.A.I.K Zimbabwean & Namibian diary companies are exporting their products in the R.S.A market and they are doing well...
   
 5. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  am highly impressed with the Tz firm exporting to kenya and causing hysteria on the rival company there. kumbe tunaweza. and this means kila sekta tukiwa serious wakenya tunawapiga chini. na ili hili litokee, we have to do it...u can't score a goal without shooting on goal. Go Bongo Go! Your only fear is lack of confidence
   
 6. n

  nomasana JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 789
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  speaking as a businessman........

  i think there is a real issue of trademark here that some of you are overlooking. any businessman would be crazy not to take action

  unilever is not afraid, it has more money more assets and they cover a large market than the tanzanian company and they can use that financial muscle to kill the ambitions of the company from tanga.

  speaking as a consumer.........

  the more the competition the better for my wallet therefore i welcome the company from tanga. competition can only be good.
   
 7. n

  nomasana JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 789
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  isnt it tanzania that locks out kenyans from buying shares at the dar stock exchange?

  however i will say that alot needs to be done to increase the efficiency of the common market. slowlybut surely we will get there
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Of all the countries involved in the EAC Kenya is more than willing na wanataka saana huo muungano. Hiyo ya bidhaa bora za Tanga naamini mi moja tu ya exceptions, ukiobserve sana hasa hapa Bongo wamekazana kuja na wanaongezeka kwa kasi. We really have to pull up our socks and be ready for the competition. Nimeshukuru sana kwa hii thread mana I was not aware kua wame impose Competition kwa Wakenya mpaka ku react' and am proud of those Tanga products na kazi wanafanya.
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  sasa utashangaa akina mwapachu na sita kimyaaaaa

  hii nchi kama vile imelogwa

  mi niliposikia mengi alitumia miaka kumi kupata kibali cha channel 5
  kuonekana kenya nilishangaaa mno.....

  wakenya wana agenda kwenye hii eac
  sisi tupo kama mazuzu vile....
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hata mzindakaya alilalamika bungeni kuwa
  wamemzuia kuuza nyama za kiwanda chake huko kenya.....

  tungekuwa na akili

  tungeanzisha muungano na zambia ,malawi na msumbiji.......

  but kujiongoza wenyewe hatuwezi,tutamuongoza nani????????
   
 11. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Huyu Six na Mwapachu wote ni makuwadi wa matumbo yao haiwezekani wawe wanawachekea manyang'au bila kufanya kile walichotumwa na watanzania.
   
 12. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,494
  Trophy Points: 280
  Hapa ishu ni trademark- Body lux (Tanga) vs LUX ya unilever. It makes sense kwa unilever kwenda mahakamani kwasababu bidhaa zao zinafanana (similar products-e.g.soaps) na wanauza kwenye soko moja la Kenya, hii inaweza kuwachanganya wateja.
   
 13. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280

  Safi sana hii na bado tutawakomesha ubishi, ngoja tuwang'oe madarakani Chama Cha Majambazi ndio watajua kile kilichomtoa kanga manyoya. Manyang'au ni makupe ambayo yamejichimbia na yananyonya damu ya Watanzania. Hulka yao ni kuona ukanda wa utalii unamilikiwa na Mafisadi yao ya kiingereza kwa mgongo wa mafisadi.


  BTW Nafikiri ile rate ya $100 kwa siku inatakiwa iongezwe iwe sawa na £100 kwa siku kwa wageni kwenye mbuga zetu maana hiyo mia imekaa tangu zamani hivi hawafahamu kwamba kuna recession na matatizo ya umeme nchi hii? tena watoto wetu wengi siku hizi vitabu vimechakaa lazima tutmie hizi rasilimali ambao hawataki kuja kwetu waende Kenya wakaone Amboseli.
   
 14. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Hivi kweli wateja wasomi kama manyang'au kweli wanaweza kuchanganywa na bidhaa kama hii?
   
 15. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Wait a minute...

  Both LUX and Bod lux have been in the market side by side (talking the TZ market), i myself remember using both products for sometime now without any confusion. It is like Pepsi cola and Coca cola.

  The time is now for the dinosour (Unilever) to be extinct....:smile-big:
   
 16. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Watabana watafungua tu...
   
Loading...