Cool Runnings
JF-Expert Member
- Feb 4, 2013
- 277
- 199
- Thread starter
- #21
Mapokeo yana shida yake hasa yakimpata mtu aliyeikosa elimu dunia na hivyo kushindwa ku-reason. Tuiombee nchi yetu amani, umoja na mshikamano na tujiepushe na viongozi wachumia tumbo.
Kama mahakama ya kadhi tayari ipo kwa nini iwe lazima itambuliwe kikatiba?
ILI KUONYESHA MSISITIZO, WANGEZIFUTA MAHAKAMA ZA KADHI ILI KUISHINIKIZA SERIKALI IZITAMBUE KIKATIBA KWANZA.
Hiyo nadhani ngumu kumeza!!!