Kumbe hamjamjua vema Rais Magufuli, Hivi ndivyo alivyo

Barya

JF-Expert Member
May 5, 2012
949
1,193
Wananchi hasa vijana mnaopoteza muda wenu kwenye mitandao mkijipa matumaini kuwa kwa uongozi wa awamu ya tano mtapata vyeo vya bule kama vile ukuu wa wilaya na ukatibu wa sekta mbalimbali, sahau kabisa.

Muache Rais afanye kazi yake mwenyewe, utawala huu si wa awamu ya nne, kuweni makini.
 
Angalizo lako ni la msingi. Ila kugha uliyotumia haikubaliki.
sawa lakin hawa vijana kila wakati wana boa sana mara ooh, humphrey polepole mara ooh, kippi warioba, nasistiza muache afanye maamuz mwenyewe
 
maaumizi gani toka lini CCM ikafanya jambo la maana zaidi ya kujaza matumbo yao miaka 52 ya udikteta wa CCM hatujaona lolote la maana zaidi maradhi, wizi,rushwa, njaa, ukame, mafuriko, ujambazi, ukahaba, mauwaji,
 
Wananchi hasa vijana mnaopoteza muda wenu kwenye mitandao mkijipa matumaini kuwa kwa uongozi wa awamu ya tano mtapata vyeo vya bule kama vile ukuu wa wilaya na ukatibu wa sekta mbalimbali, sahau kabisa.

Wapo vijana wengi wasiojipendekeza kutafuta vyeo kwa nguvu, na sifa wanazo, nashangaa wahuni wa mitandaoni mnapendekezana, huo ni upumbavu na ulofa.

Muache Rais afanye kazi yake mwenyewe, utawala huu si wa awamu ya nne, kuweni makini.

Hahahahahahah...braza kevooooo

Daraja limekamilika? Vipi upigaji wa mbizi?

Na wewe unalilia cheo?
 
Wananchi hasa vijana mnaopoteza muda wenu kwenye mitandao mkijipa matumaini kuwa kwa uongozi wa awamu ya tano mtapata vyeo vya bule kama vile ukuu wa wilaya na ukatibu wa sekta mbalimbali, sahau kabisa.

Wapo vijana wengi wasiojipendekeza kutafuta vyeo kwa nguvu, na sifa wanazo, nashangaa wahuni wa mitandaoni mnapendekezana, huo ni upumbavu na ulofa.

Muache Rais afanye kazi yake mwenyewe, utawala huu si wa awamu ya nne, kuweni makini.
Waache watu wajikombe kila mtu anastahili ya kutafuta maisha kama wewe huwezi kujikomba hustle kivyako.
 
Duh..kumbe kuna wanaotegemea wateuliwe kama asante ya kushinda mitandaoni? Chabruma na Yehodaya mnahusika..as long as you got RIGHT qualifications! (no pun intended)
 
Ukitaka kazi kwa magupombe wewe andaa uzi then sambaza mitandaoni,,,itamfikia na utateuliwa,,,,hamwoni mrema na polepole
 
Wananchi hasa vijana mnaopoteza muda wenu kwenye mitandao mkijipa matumaini kuwa kwa uongozi wa awamu ya tano mtapata vyeo vya bule kama vile ukuu wa wilaya na ukatibu wa sekta mbalimbali, sahau kabisa.

Wapo vijana wengi wasiojipendekeza kutafuta vyeo kwa nguvu, na sifa wanazo, nashangaa wahuni wa mitandaoni mnapendekezana, huo ni upumbavu na ulofa.

Muache Rais afanye kazi yake mwenyewe, utawala huu si wa awamu ya nne, kuweni makini.
Bila kujikomba mitandaoni huteuliwi...kujikomba mitandaoni ni moja ya sifa ya kuteuliwa
 
Ngoja aje lizabon atoe maoni yake

Back
Top Bottom