Kumbe halivunjwi bali linasukwa upya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe halivunjwi bali linasukwa upya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ruttashobolwa, May 3, 2012.

 1. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,716
  Likes Received: 12,767
  Trophy Points: 280
  Nilisikitishwa sana na maneno haya yaliyo tolewa na cc,kubariki huamuzi wa jk kusuka upya baraza la mawaziri na sio kulivunja ,siku zinavyo zidi kwenda ndio nazidi kupata maana ya maneno haya yaliyo wasilishwa na nape kwa niaba ya cc.

  Kwa sababu kama nikusuka upya basi kichwa ni kilekile(baraza la mawaziri) na kinachofanyika ni kufumua na kusuka upya na kubadilisha mtindo wa usukaji na jua sasa hivi atatumia mtindo wa twende kilioni(lazima mwisho wake tubaki na majonzi)

  tutegemee tukiona mawaziri walewale wakipewa kazi nyingine za kufanya ,ikiwemo kubadilishiwa wizara tu.

  "tukumbuke cc imebariki huamuzi wa jk kusuka upya baraza la mawaziri na sio kulivunja kama tunavyo fikiri"
   
 2. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Pinda akiondoka atabeba msalaba woote kana kwamba alifisadi yeye, yalompata Lowassa ni mfano )jk alimkataza kufukuza richmond)
   
Loading...