Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Ripoti kutoka Google inaonyesha Kila mwaka Apple anachukua zaidi ya Dola bilioni $50 ili Google search ibakie kwenye browser ya safari kama default search Engine kwenye simu za iphone.
Huu ni mkataba mkubwa sana japo kwa Sasa imetokea ripoti ya kutokuamiana baina ya Google na Apple juu ya uhifadhi wa data za watu kwenye hivyo vifaa.
Mkataba huo ambao unaifanya app ya safari kwa watumiaji wote wa vifaa vya Apple Google kuwa default search engine kwenye upande wa utafutaji wa vitu mitandaoni.