SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Kila niki sign in kwenye gmail yangu akaunti kwa kutumia simu yangu wananiambia ni type maneno ambayo ni magumu kuya type .jamani nifanyaje ili niondoe hili tatizo. kwa sababu ninashindwa kusoma email zangu ni ki sign in tu wananiambia ni andike au ni type text ambayo ni vigumu kuiandika vile wanavyotaka.naombeni msaada wenu wakuu.