Kumbe Diamond na Wema ni Wanamabadiliko:

Kumbe Diamond na Wema ni Wanamabadiliko:

Jamar Said

Member
Joined
Sep 2, 2015
Posts
19
Reaction score
35
Nimefurahishwa sana na hawa watu maarufu Tanzania kuwa mbele kwenye siasa za nchi yetu. Nimefurahishwa zaidi kuona wanataka mabadiliko ya kweli na sio bora mabadiliko..! Hongera Wema na Diamond.!
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    46.6 KB · Views: 614
  • image.jpg
    image.jpg
    51.4 KB · Views: 536
Kweli mabadiliko kutoka mwanamke mmoja kwenda mwingine maranyingi iwezekanavyo, na kutoka mwanaume mmoja kwenda kwamwingine mara nyingi iwezekanavyo.

Hahahaha wanamabadiliko hongereni
 
Nimefurahishwa sana na hawa watu maarufu Tanzania kuwa mbele kwenye siasa za nchi yetu. Nimefurahishwa zaidi kuona wanataka mabadiliko ya kweli na sio bora mabadiliko..! Hongera Wema na Diamond.!
1. WARIOBA anataka katiba yake ya wananchi kwa 100%. CCM inapinga rasimu ya Warioba. Warioba anaipigia kampen CCM.

2. MREMA anampigia kampeni Magufuli achaguliwe kuwa rais. Chama chake cha TLP kimesimamisha mgombea urais.

3. MAGUFULI amesema atakirudisha "kiwanda cha nguo" cha Tanelec. Tanelec inatengeneza bidhaa za umeme.

4. SLAA anatuambia alishiriki kuandaa ilani ya CDM ambayo Mh.Lowassa anaitumia kupigia kampeni. Dr.Silaa anamuunga mkono Magufuli na amesema Ilani ya chadema haizungumzii ufisadi.

5. Mh.Magufuli alipokua Himo aliwaambia wananchi wamchague MREMA jimbo la vunjo. Jimbo la vunjo pia lina mgombea ubunge kwa ticket ya ccm.

#HapaGizaTu
#Mzee_wa_kukopyNaKupest
#MafurikoYaFiesta
 
Kila siku nikiliona tangazo LA Magufuili star tv huwa nafurahia mno

Maana najua kwa Lowassa kura zimeogezeka 5000 kila likipigwa tangazo lile kura za Lowassa zinaongezeka

Hasa yale Maandishi Yasemayo "
Mabadiliko yanakuja !!!!

Sayansi ya Siasa hiyo!!!!!!!!!!

Ccm mnamfanyia Lowassa kampeni aaahh
 
Diamond ni mwanamuziki maskini zaidi duniani sijawai kumuona mwanamuziki akitumika kisiasa kwa lengo la kusaka hela au kumfurahisha mkuu wa nchi kutokana na kuwa hana jinsi. Ndio kwanza jambo hili limetoka hapa Tz

Ameshindwa kujijengea mazingira ya kutokuwa mtumwa kwenye Chama Cha Mapinduzi.

Wema naye ni halikadhalika.
 
Kila siku nikiliona tangazo LA Magufuili star tv huwa nafurahia mno

Maana najua kwa Lowassa kura zimeogezeka 5000 kila likipigwa tangazo lile kura za Lowassa zinaongezeka

Hasa yale Maandishi Yasemayo "
Mabadiliko yanakuja !!!!

Sayansi ya Siasa hiyo!!!!!!!!!!

Ccm mnamfanyia Lowassa kampeni aaahh

kweli kabisa
 
Back
Top Bottom