Kumbe chopa zinaweza kutembea usiku?

Kumbe chopa zinaweza kutembea usiku?

M.Rutabo

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
1,048
Reaction score
2,765
Jamani naomba kuuliza maana kuuliza sio ujinga.

Dakika chache zilizopita chopa zinapishana hapa kwenye anga la Kahama zinaelekea kama Ushilombo hivi . Yani na ukubwa wangu wote sikuwai kufikilia kuwa chopa inaweza kupiga misele saa Saba na robo usiku tena sio moja. Mpaka Sasa hivi naogopa mwenzenu.
 
Bila shaka umemaanisha jets, yaani ndege vita.

Chopa ni helkopta.

Kwanini zisiende kusini huko? Inasemekana kuna shida.
 
USIKU ZINATUMIKA CHOPA KWA KUTUMIA night vision goggles SASA ISIJE HAO MABEBERU WANATOROSHA ALMASI ZETU 😎😎
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom