Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,948
Ndugu zanguni,
Imethibitishwa leo huko kalenga kuwa chopa sio sanduku la kura na ndugu zangu hawadanganyiki...
Jitambue!

Tatizo badala ya kuomba kura wao walikuwa busy zaidi kusisitiza kulinda kura,sasa sijui walikuwa wanafikiri watalinda vip kura ambazo hazipo?kweli zama za Chadema kama chama mbadala zimekwisha,ni either Chadema ibadilike SASA au Chama kingine kiichukue nafasi yake.Duh kura 22,909 dhidi ya 5,800 si mchezo
Ndugu zanguni,
Imethibitishwa leo huko kalenga kuwa chopa sio sanduku la kura na ndugu zangu hawadanganyiki...
Jitambue!
Hauwezi kutwaa dola kwa Chopa.
Ndugu zanguni,
Imethibitishwa leo huko kalenga kuwa chopa sio sanduku la kura na ndugu zangu hawadanganyiki...
Jitambue!
Wewe waache waendelee na kejeli zao, lakini kwa hakika mwisho wa CCM haupo mbali.Sanduku la Kura bila uboreshwaji wa Daftari la wapiga kura sio sanduku lenye heshima katika imani juu ya misingi ya kidemokrasia
Sanduku la Kura bila uboreshwaji wa Daftari la wapiga kura sio sanduku lenye heshima katika imani juu ya misingi ya kidemokrasia