. Tunasema kuhusu Lisu na JK nani mmbea na nikakuuliza umbea unapatikanaje. Unapatikana kwa kusikia ya kuambiwa, kuelezwa bila kujua bila kushuudia au kupata ushaidi kamili (hapa ni kwa kusoma Hansard), kusubiri kufahamishwa halafu katika hayo ukayafanya unayajua na kuyapigia debe. Huyo ndo mmbea ila msema kweli ni yule alikuwepo kwenye tukio, aliona au kushuudia, alishiriki katika tukio au alikuwa ni mmoja wao waliotenda tukio huyo akikueleza si mmbea wala mnafiki au mzandiki bali amesema kile aliona, alishuudia, alishiriki.