Wakuu diwani wa chadema aliyekuwa anagombea nafasi ya uenyekiti wa halmashauri moja huko kigoma amepata kura tatu tu,hii ikanifanya niamini kuwa kweli chadema imechuja sana kigoma,make wapiga kura walikuwa 17 mh diwani wa chadema kaambulia tatu tu.
Sure mkuu kumbe imani yangu ilikuwa inanidanganya.Chadema haijawahi kuwa maarufu kigoma, ni kaskazini pekee
Fuatilia mwenyewe uje utwambie kuhusu ccm,usiongee maswala ya mtaani yasiyo na utafiti.Mwenyewe Umechuja! Na vipi kuhusu CCM?
Mtu mzima kupata kula tatu ni aibu sijui wewe unalichukuliaje hili kama mimi naacha na udiwani.Unajitekenya na kujichekesha mwenyewe?!!
Mtu mzima kupata kula tatu ni aibu sijui wewe unalichukuliaje hili kama mimi naacha na udiwani.
Sio hivyo tuu pia wanaongopa kama walivyozoea Raisi muongo waziri mkuu muongo secretariat ya CCM waongo jana ITV,channel ten,Star TV wote walionyesha mtafaruku wa KIbondo kuna mwana JF naye alikuja hapa akatoa ushahidi huyo mfanya biashara alivyomuhonga Nape million tano Nape akalazimisha madiwani wakabwaga, uchaguzi uakahirishwa mpaka siku sitini kama kawaida yao na ujambazi wa kubaka demokrasia wamelazimisha mambo wamebadili kila kitu watu waliosimama kwenye uchaguzi hata kwa upande wa chadema hakuwa yule mwanamkeWanaweweseka na 4-0 za arusha mmeamua kujifariji na vitu ambavyo havipo huko kogoma