Kumbe ccm wanamiliki madaraja?

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
378
4.jpg

picha na mjengwa blog
 
duuuuh mkuu umenikumbusha mbaaali, miaka 1978, hapo karibu kuna geti la tanesco miaka hiyo, kulikuwa na (mbaula) lori la fiat likiitwa moreta likitusafirisha kutoka damsite hadi mkamba, maisha yalikuwa mswano mnooooo.
 
Tatizo ni iyo rangi au aliyelifungua.
Kama ni rangi kumbuka ni maeneo ya hifadhi hayo so greenish ndo rangi ya kupaka.
Ndo maana ata magari ya kitalii yana rangi izo ambazo ni friendly kwa wanyama!
 
Mi naona linamilikiwa na precision air. Ni maoni yangu tu.
 
Back
Top Bottom