Kumbe CCM hawana hoja ya kuchukia Dr SLAA

Kumbe CCM hawana hoja ya kuchukia Dr SLAA

Joblube

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2011
Posts
369
Reaction score
151
Wana JF

Leo nilipata nafasi kupitia ofisi ya CCM nikawakuta wanachama wakijadili mabadiliko yaliofanywa na CCM kwenye uongozi wake. Wengi waliokuwa wanachangia walikuwa wanamtaja Slaa kama chanzo cha mageuzi yale. Sikutegeme kumsikia mwana CCM akisema Slaa ni kiboko wa kujenga hoja akaongezea kuwa kwa sasa hapa nchini hakuna anayemfikia. Mmoja akaongezea akasema tena ukifanya kosa ukamsikiliza utamshangilia kwa hoja zake hata kama humpendi. Mwingine akaongezea yule bwana alivyojaliwa akili baada ya matokeo ya uchaguzi ili kuepusha ghasia akajifanya kama yuko bize akiandaa tamko ili kupunguza munkari vijana waliokuwanayo. Nimeamini Dr Slaa ni tishio.
 
Hakuna mfano wake kwa sasa.huyo kikwete hana hoja.pius msekwa kachoka.Dr wa ukweli mwenye kuijua falsafa na saikolojia ya hali ya juu
 
mkuu ukweli ni ukweli NA UTASIMAMA DAIMA!
 
Busara za DR waukweli lazima zitaonekana tu hata kama wakijidai kuzificha
Nabada ata waendesha sana
 
Dk. Slaa ni kiboko tangu siku nyingi Mh anajua. Mlikosea sana kumchakachua tutajuta.
 
Dr. slaa the man of his own kind.namkubali sana mzee huyu ni hazina ya taifa
 
kwa kwlei ni mzuri wa hoja na vilevile anajua kitu maendeleo ya uma ila sisi kwa pamoja tukijenge chama kiwe cha watu waadilifu maana tusidhani kila mtu yupo chadema kwa ajili ya uma la hasha kuna watu wana maslahi binafsi ni wakupingwa kwa nguvu zote na ikiwezekana kuwavua uanachama kabisaaaa....

jamani tuelimishe na wasioelewa haya mambo ya mabadiliko ndani ya nchi yetu tusipeane maneno wenyewe kwa wenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom