Kumbe bongo kuna location nzuri namna hii....🤔

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,585
Reaction score
3,180
Wimbo mpya wa Mbosso "Tamu" umeshootiwa Mbeya, Iringa na maeneo kadhaa ya Nyanda za juu Kusini. Mazingira ni safi sana yametulia mnooo. Ama kwa hakika inavutia sana kuona Tanzania tuna maeneo bora sana ya wasanii wetu kutengeneza video zao kuliko kufuata maghorofa huko South.

Serikali oneni fursa hiyo kuliko kuwafungia hawa vijana wetu watumieni kutangaza vivutio vya nchi yetu kama hivi hamuoni kama inapendeza sana? Na sisi tunataka wakina Nicki Minaj waje huku kushoot video zao asee.

 
Waambie mimi beberu si jogoo wa pasaka, tushasoma dua kusitirika kwa wenye roho za paka.......mbosso ni dunia nyingine ya mistari
 
Hifadhi ya Kitulo Makete Njombe papo hivyo na ziwa nyasa
 
Hivi huyu Kenny wa Zoom production ni official director wa WCB tu?Coz wanamtumia sana wao tu,
 
Kitulo, Matema beach na Mbeya barabara ya kwenda Chunya.
 
Wimbo ni too much Diamond!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…