Kumbe bado wapo

Kumbe bado wapo

majibu haya hapa mkuu
1.damu ilitoka kwa siku zote mbili
hadi mashuka ili bidi kuyatoa; pia kuna sehemu ilibaki kama kumbukumbu

2.siku ya kwanza niliishia katikati siku ya pili nikamalizia

3.siku ya tatu ilikua 50/50 raha na maumivu ila siku ya 4 na kuendelea alinambia anapata raha.
Hitimisho ni kwamba alifurahia kamchezo[/QUOT

Duh!!!!!!!!!!!!! KUTOA BIKIRA SIKU 2?
NA KUTOKA DAMU SIKU 2?
Inanishangaza kidogo kuhusu hiyo bikara uluiyoitoa kwa siku mbili!!!?, halafu hata bila kupingwa kuchaa za mgongo au kuumwa shingo. Kwani wakati wa kutoa hicho kizibo mwanamke husikia maumivu ambayo hutafuta sehemu ya kuyapunguzia either kwa kukufinya kwa nguvu mfano mgongo au kukuuma shingoni ili kupunguza maumivu hayo ,baada ya hapo atakuwa anasikia maumivu kiasi na raha wakati wewe ukiendele taratibu kuchochea kuni kwenye hilo jiko . Sasa kaka wewe husema hata kama alikugangania kwa nguvu ili kupunguza hayo maumivu.

La pili ni hilo la damu kutoka siku mbili mfululizo, Inatia mashaka kitu kama hicho kaka labda huyu dada ni abdnormal ktk maumbile, damu siku mbili imekuwa period hiyo?. Inawezekana lkn sio kawaida hiyo. Halafu unasema siku ya kwanza alivosikia maumivu ukaacha, Kaka kweli una moyo. Yaani maumivu tu wewe wewe unaweka reverse gear, Hapoi ilitakiwa ni gear no 1 tena na moto juu ungeona kama usingepigwa makucha mgongoni au
kuumwa shingo . CHEZEA KUTOA BIKIRA YA UKWELI, UWEZI TOKA HIVI HIVI BILA HATA KAJERAHA KADOGO KA MAPENZI.

Hata hivyo hongera ,fanya fanya fast uoe hilo toto la ki-push, wabeja sana
 
mmmmmmmmh siku ya kwanza baada ya kuingiza nusu aliweza kukuachia siku ya pili? Na ya tatu na ya nne....mmmmmmmmmmmmmmh nina shaka na hiyo bikira
rafiki mimi niliamua kujishangalia kimya kimya naona umenifanya niongee.
kiukweli baada ya siku ya kwanza, siku iliyofuata sikuweza kutoka nje na niliumwa sana karibia wiki nzima. kilichoniuma zaidi nilimpa tu kazi kakangu ya kuniuguza wiki nzima akijua naumwa sana na kunichukulia taxi kupelekwa hosp kwa madai kuwa siwezi kutembea kwa jinsi nilivyozidiwa. sipati picha kama ningeweza kuachia tena ile siku ya pili au ya tatu.......
lakini labda watu tunapishana, lol!
 
inategemea ilivunjwa vipi ,kama jamaa ni mtaalamu wa kuzivunja hizo kistaarabu siyo lazima uumwe hizo siku zote mkuu!
pole sana kwa kupata bad experience kwenye hiyo experience yako ya kwanza.
 
rafiki mimi niliamua kujishangalia kimya kimya naona umenifanya niongee.
kiukweli baada ya siku ya kwanza, siku iliyofuata sikuweza kutoka nje na niliumwa sana karibia wiki nzima. kilichoniuma zaidi nilimpa tu kazi kakangu ya kuniuguza wiki nzima akijua naumwa sana na kunichukulia taxi kupelekwa hosp kwa madai kuwa siwezi kutembea kwa jinsi nilivyozidiwa. sipati picha kama ningeweza kuachia tena ile siku ya pili au ya tatu.......
lakini labda watu tunapishana, lol!
Dada yaani wewe MKALIII yaani wiki nzima. ulijifungua? (ulizaa?)
au ni hizi Bikra za ukubwani miaka 30, maana nyingi sisi tulizoziwahi Bibie na maumivu lazima keshoye akufuate kwa tabasamu
Lakini wewe umechukuliwa na Kakayako kwenda hospital ni kweli? au ilitoka kwenye REDENTA!!!!
maana ni lazima aliyekuleta ukubwani ungemtaja
Happy New Year 2013
 
Back
Top Bottom