Yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya kuhifadhiwa kwa mwili wa mpendwa wetu,Muasisi wa Makanisa na Huduma za wokovu nchini Tanzania, Marehemu Askofu . Dk. Moses Kulola, imefahamika kuwa Mwanajeshi huyu wa kiroho aliyetumikia Jeshi la BWANA YESU katika kipindi chote cha maisha yake ya hapa duniani alikuwa ni mtu wa nyota ya MAPACHA ama GEMINI. Kinyota , watu waliozaliwa kati ya MEI 20 na JUNI 21 ni watu wa NYOTA YA GEMINI. Imefahamika kuwa Marehemu Askofu Kulola alizaliwa tarehe 02 JUNI 1930. SIFA KUU ya watu wa NYOTA ya GEMINI, huwa ni kufanya mambo makubwa sana na ya kipekee sana iwe ni katika michezo, sanaa, uongozi, utumishi,elimu nakadhalika. . Maisha ya watu wa mapacha huongozwa (kwa kujua ama kutokujua ) na nishati " energy " inayo patikana kwenye andiko linalopatikana kwenye kitabu cha ECCLESIASTES 9:10Amen. Ashindwe na alegee kabisa!
Yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya kuhifadhiwa kwa mwili wa mpendwa wetu,Muasisi wa Makanisa na Huduma za wokovu nchini Tanzania, Marehemu Askofu . Dk. Moses Kulola, imefahamika kuwa Mwanajeshi huyu wa kiroho aliyetumikia Jeshi la BWANA YESU katika kipindi chote cha maisha yake ya hapa duniani alikuwa ni mtu wa nyota ya MAPACHA ama GEMINI. Kinyota , watu waliozaliwa kati ya MEI 20 na JUNI 21 ni watu wa NYOTA YA GEMINI. Imefahamika kuwa Marehemu Askofu Kulola alizaliwa tarehe 02 JUNI 1930. SIFA KUU ya watu wa NYOTA ya GEMINI, huwa ni kufanya mambo makubwa sana na ya kipekee sana iwe ni katika michezo, sanaa, uongozi, utumishi,elimu nakadhalika. . Maisha ya watu wa mapacha huongozwa (kwa kujua ama kutokujua ) na nishati " energy " inayo patikana kwenye andiko linalopatikana kwenye kitabu cha ECCLESIASTES 9:10Wewe mganga/mnajimu MAJIDAI omba mods wafute huu uzi wako wakichawi.
Ambapo wengine tukiwa na majonzi wewe unamuhusisha marehemu askofu wetu
Yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya kuhifadhiwa kwa mwili wa mpendwa wetu,Muasisi wa Makanisa na Huduma za wokovu nchini Tanzania, Marehemu Askofu . Dk. Moses Kulola, imefahamika kuwa Mwanajeshi huyu wa kiroho aliyetumikia Jeshi la BWANA YESU katika kipindi chote cha maisha yake ya hapa duniani alikuwa ni mtu wa nyota ya MAPACHA ama GEMINI. Kinyota , watu waliozaliwa kati ya MEI 20 na JUNI 21 ni watu wa NYOTA YA GEMINI. Imefahamika kuwa Marehemu Askofu Kulola alizaliwa tarehe 02 JUNI 1930. SIFA KUU ya watu wa NYOTA ya GEMINI, huwa ni kufanya mambo makubwa sana na ya kipekee sana iwe ni katika michezo, sanaa, uongozi, utumishi,elimu nakadhalika. . Maisha ya watu wa mapacha huongozwa (kwa kujua ama kutokujua ) na nishati " energy " inayo patikana kwenye andiko linalopatikana kwenye kitabu cha ECCLESIASTES 9:10Ajabbu kweli peleka uchawi wako kulr
aisee nilihisi sheikh yahya amekufa na mambo yake kumbe bado mpo mkuu nipe jina lako halisi nimwombe GWAJIMA AKUFANYIE KAZI INFACT KA,MA NYIE AKUNA THAMANI YA KUISHI DUNIANI NA MAMBO KAMA HAYO KAMA UAMINI ULIZA NDUG ZA SHEIKH YAHYA WALIAMBIWA LINI ANANGOKA
Kumbe ulijua unaandika upuuz ndo mana ukatanguliza msamaha?Sasa kama ni kwel vipi kwa wenye nyota hiyo na hawana lolote kati ya ulotaja?Hayo mambo yanawafaa washirikina kama wewe na halina lolote kwa wanao mwamin Mungu.Mtu anaweza kuwa maarufu kwa mpango wa Mungu na jitihada ktk lile analofanya na siyo nyota.
Yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya kuhifadhiwa kwa mwili wa mpendwa wetu,Muasisi wa Makanisa na Huduma za wokovu nchini Tanzania, Marehemu Askofu . Dk. Moses Kulola, imefahamika kuwa Mwanajeshi huyu wa kiroho aliyetumikia Jeshi la BWANA YESU katika kipindi chote cha maisha yake ya hapa duniani alikuwa ni mtu wa nyota ya MAPACHA ama GEMINI. Kinyota , watu waliozaliwa kati ya MEI 20 na JUNI 21 ni watu wa NYOTA YA GEMINI. Imefahamika kuwa Marehemu Askofu Kulola alizaliwa tarehe 02 JUNI 1930. SIFA KUU ya watu wa NYOTA ya GEMINI, huwa ni kufanya mambo makubwa sana na ya kipekee sana iwe ni katika michezo, sanaa, uongozi, utumishi,elimu nakadhalika. . Maisha ya watu wa mapacha huongozwa (kwa kujua ama kutokujua ) na nishati " energy " inayo patikana kwenye andiko linalopatikana kwenye kitabu cha ECCLESIASTES 9:10uhitaji kuwa mchafu ili watu wajue wewe ni chizi!
Yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya kuhifadhiwa kwa mwili wa mpendwa wetu,Muasisi wa Makanisa na Huduma za wokovu nchini Tanzania, Marehemu Askofu . Dk. Moses Kulola, imefahamika kuwa Mwanajeshi huyu wa kiroho aliyetumikia Jeshi la BWANA YESU katika kipindi chote cha maisha yake ya hapa duniani alikuwa ni mtu wa nyota ya MAPACHA ama GEMINI. Kinyota , watu waliozaliwa kati ya MEI 20 na JUNI 21 ni watu wa NYOTA YA GEMINI. Imefahamika kuwa Marehemu Askofu Kulola alizaliwa tarehe 02 JUNI 1930. SIFA KUU ya watu wa NYOTA ya GEMINI, huwa ni kufanya mambo makubwa sana na ya kipekee sana iwe ni katika michezo, sanaa, uongozi, utumishi,elimu nakadhalika. . Maisha ya watu wa mapacha huongozwa (kwa kujua ama kutokujua ) na nishati " energy " inayo patikana kwenye andiko linalopatikana kwenye kitabu cha ECCLESIASTES 9:10Upuuzi mtupu!
Yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya kuhifadhiwa kwa mwili wa mpendwa wetu,Muasisi wa Makanisa na Huduma za wokovu nchini Tanzania, Marehemu Askofu . Dk. Moses Kulola, imefahamika kuwa Mwanajeshi huyu wa kiroho aliyetumikia Jeshi la BWANA YESU katika kipindi chote cha maisha yake ya hapa duniani alikuwa ni mtu wa nyota ya MAPACHA ama GEMINI. Kinyota , watu waliozaliwa kati ya MEI 20 na JUNI 21 ni watu wa NYOTA YA GEMINI. Imefahamika kuwa Marehemu Askofu Kulola alizaliwa tarehe 02 JUNI 1930. SIFA KUU ya watu wa NYOTA ya GEMINI, huwa ni kufanya mambo makubwa sana na ya kipekee sana iwe ni katika michezo, sanaa, uongozi, utumishi,elimu nakadhalika. . Maisha ya watu wa mapacha huongozwa (kwa kujua ama kutokujua ) na nishati " energy " inayo patikana kwenye andiko linalopatikana kwenye kitabu cha ECCLESIASTES 9:10Mfyuuuuuuu
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Nyota yako imechuchumaa kama vyura wa Kihansi