OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Sie tulijua ni Bernard Membe pekee ana mahusiano na Jakaya Kikwete kumbe hata Amina naye wana mahusiano ya karibu.
Sie tulijua ni Bernard Membe pekee ana mahusiano na Jakaya Kikwete kumbe hata Amina naye wana mahusiano ya karibu.
Ni mabadiliko ya kiutamaduni. Miaka ya 1970 hadi 1980 wanawake wa Kizenj waliokuwa wamesoma au kuonja usasa wa enzi hizo walikuwa wakivaa kama wanawake wa Kibara! Ni katika miaka ya kuanzia 1990 wakati wa upepo wa mageuzi ya kisiasa na kiuchumi napo mageuzi ya kiutamaduni (hususan kuhusu mavazi ya wanawake) ukaikumba Zenj. Kwa hivyo Mhe Bi Amina katika picha hiyo alikuwa amevaa mavazi yaliyokuwa yakikubalika.Kumbe ushungi zuga tu!
magufuli atatunyosha this time ..
Mkulu anajulikana bhana. Ingekuwa picha ya ben watu wasinge sema kituKwa hiyo mtu akija na picha aliyopiga na bwana Magufuli back then wakiwa wote ni watumishi wa Nyanza Cooperative Union tuseme huyo mtu atakuwa na "mahusiano ya karibu" na bwana Magufuli? Nonsensical!!!!
Halafu MaCCM yalivyo na akili fupi sana yanamwona JK mjanja sana...
Wakati Magufuli aliwekwa kama reserve ishu ikibumbuluka iwe ilivyokuwa...
Lakini wote alioingia na majina yao mfukoni mwake ni misukule yake...
Ila kwa kuwa MiCCM ndivyo ilivyo inamwona jamaa bonge la mjanja
Halafu MaCCM yalivyo na akili fupi sana yanamwona JK mjanja sana...
Wakati Magufuli aliwekwa kama reserve ishu ikibumbuluka iwe ilivyokuwa...
Lakini wote alioingia na majina yao mfukoni mwake ni misukule yake...
Ila kwa kuwa MiCCM ndivyo ilivyo inamwona jamaa bonge la mjanja
Tuwe wakweli hivi wewe ukiwa rais na muda wako wa uongozi unaenda ukingoni hutakuwa na ushawishi kwamba nan unaamin atarithi mikoba yako na kuendeleza Yale unayoyaoona mazur.fahamu Nyerere alipendelea Mwinyi awe raid sababu tu aliwajibika pindi akiwa WAZIR wa mambo ya ndani,Mkapa alimpgia kampen ya waz Jk Kafka mkutano mkuu aliposema wanataka rais kijana na jk kwa muda ule ndo alikuwa kijana so
hata mbowe akibahatika he will do the same.kuhusu picha c tatizo hats kabla zilitupiwa picha hapa za jk akiwa na lowasa mkadai wametoka mbali alipopigwa chin mkasema alimkumbatia member tatizo mnaongozwa kwa hisia
Tuwe wakweli hivi wewe ukiwa rais na muda wako wa uongozi unaenda ukingoni hutakuwa na ushawishi kwamba nan unaamin atarithi mikoba yako na kuendeleza Yale unayoyaoona mazur.fahamu Nyerere alipendelea Mwinyi awe raid sababu tu aliwajibika pindi akiwa WAZIR wa mambo ya ndani,Mkapa alimpgia kampen ya waz Jk Kafka mkutano mkuu aliposema wanataka rais kijana na jk kwa muda ule ndo alikuwa kijana so hata mbowe akibahatika he will do the same.kuhusu picha c tatizo hats kabla zilitupiwa picha hapa za jk akiwa na lowasa mkadai wametoka mbali alipopigwa chin mkasema alimkumbatia member tatizo mnaongozwa kwa hisia
Ila jamani huyu amina kaumbika. Hayo macho na ile sauti yake mmmmhhhhh