Kumbe akili nayo ni mali.....!!!!!!

kimekazwa na screw ardhini
 
kwa haraka harak waweza fikiri huyu farasi ni mjinga ila .. ila ukianza kufikiria kwa undani kabisa na kuingiza mambo ya physics and related mechanics.. huyu farasi anakili kulik wewe
 
Huyo farasi kamdharau alomfunga hapo ndo mana haondoki
 
Wanyama hufanya matendo yao kwa mazoea, kama alikuwa anafungwa sehemu ambayo kila alipokuwa akijaribu kuondoka akawa hawezi na alipofungwa hapa akajua mambo ni yale yale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…