Akiwa na shida mwambie aje kuchukua hapohapo ili akushukuru
Vocha ya mia tano halafu nikupigie kukushukuru jaman??si inaishia kwako tena??
Inavunja Moyo Sana..,''Binadam Kaumbiwa Mateso''... Lakini Anastahili Kupozwa!!
Mwenzio Anajitutumua, kidogo Alichopata kushea Nawe,....Ni ''Kidogo'' Lakini Hata Shukrani Hakuna?!!.......
Wanibipu Baada Ya Masaa 9(Hapo Vocha Nishakutumia!)....Nakukumbusha Tena Kama Kimekufikia!....Eti, Unashtuka Sasa Na Kunishukuru!!...LOH!!
Bora Ningemfadhiri Hata Ndugu Yangu!!
Vocha ya mia tano halafu nikupigie kukushukuru jaman??si inaishia kwako tena??