Kuliomba Taifa Letu

Abel Mtambuki

Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
19
Reaction score
9
Ni wajibu wa kila mtanzania kuliombea taifa lake. Kitabu cha 2 Nyakati 7:14, kinasema kuwa Mungu anaponya nchi wakati watu waliotubu dhambi zao na kumwelekea Mungu watakavyoomba. Maombi ya watu uponyaji ni kwa walio safi mbele za macho ya Mungu, hao wakilia machozi yao nchi itapokea uponyaji wa afya, roho na uchumi. Itoshe kuacha kulaumiana kuwa kwa nini tupo hapo tulipo kiafya, kiuchumi, kiutawala na kiroho, ni wote tujue tumemkosea Mungu.
 
walio taka kumuombea lissu walikamatwa mkuu je tukitaka kuliombea taifa hatutapelekwa nyuma ya nondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…