Wandugu,
Pls assist jinsi ya kulink youtube na Gmail. Kuna some clips zinagoma kuplay na inanambia your account to youtube. Sasa ni jinsi gani naweza link? Natumia adroid
Wandugu,
Pls assist jinsi ya kulink youtube na Gmail. Kuna some clips zinagoma kuplay na inanambia your account to youtube. Sasa ni jinsi gani naweza link? Natumia adroid
Kwanza unatakiwa uwe ume signin katika simu yako yaani uwe connected na Gmail, kisha fungua YouTube App then bonyeza Menu kwenye list ya menu select signing utaona account yako inatokea na option ya ADD NEW select option ya kwanza. hapo utakua umefanikiwa kutatua tatizo lako