Kulinda raslimali kwataka ujasiri: Chadema jifunzeni ya zambia na madini yao. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulinda raslimali kwataka ujasiri: Chadema jifunzeni ya zambia na madini yao.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by SILENT ACtOR, Oct 6, 2011.

 1. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ni wazi sasa ni suala la muda tu kabla ya ccm kuondoka madarakani na nafasi yake kuchukuliwa na chama mbadala chenye nguvu, na hapa tz ni Chadema. Kuchukua uongozi (mamlaka) ni jambo moja na uongozi uliotukuka ni jambo jingine. Ndiyo maana nawaomba chadema wajifunze namna wazambia walivyoamua kuzuia uuzwaji wa madini yao nje ya nchi mpaka sheria mpya ya madini ipitishwe. Hii ni kutokana na tuhuma za kuuza madini bila kufuata taratibu kunakofanywa na wafanyabiashara na hivyo kuikosesha mapato serikali (source BBC). Hapa kwetu imeshindikana, hivyo chadema mmeona inawezekana, Zambia wameweza nasi tunaweza na madini ni mfano mmoja tu.
   
 2. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zambia mmd ndiyo walikuwa wapinzani kabla hawajakiondoa mmd,leo hao wapinzani wamedhilisha walikuwa hawana dira bali ni kuiba tu.
   
Loading...