Kama nakumbuka vizuri BOT walitoa nafasi mwisho mwaka jana,zilikuwa posts kibao lkn mpk leo sijabahatika kupata habari zozote kama watu walishachukua vitengo au la..nijuzen wadau km kuna mwenyekujua..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.