Voda hawapo ndani ya uwanja wa saba saba,wameweka vibanda nnje ya uwanja.
Nimejaribu kuulizia nimesikia wamezuiliwa na mkurugenzi wa uwanja na amesema
hata waruhusu tena,kama yeye yupo madarakani.Ila sababu hazijulikani.
Kumbe wana kiburiMakampuni ya simu ya Tigo, Zantel na Voda walifungiwa kwa siku mbili, kwa sababu yaliweka vikundi vya muziki nje ya mabanda yao na kupiga muziki kwa sauti kubwa iliyo ondoa usikivu kwa washiriki wengine, walipewa onyo kuondoa vikundi hivyo, na kufungiwa, Voda hawakuridhika, walifunga banda lao na kuondoka.
hehehe wana jeuri hawa....mwaka jana voda walikuwa wanapalana na tccl.hivyo voda walitafuta .madada wengi..!!wakawa wanauza line,na kukaribisha wateja hadi mbele ya uwanja wa tccl,mwisho wa siku wakaanza kurushiana matusi.nadhani hiyo ndo sababu coz nlisikia wanasema eti voda ndiyo wenye makosa.mia
Ipp hawako pia