Kulikoni umeme kukatika katika mara tu baada ya CEO kutumbuliwa?

Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
3,596
2,000
Kumekuwa na kukatika sana kwa umeme huku kwetu bila taarifa yo yote. Hali hii imeanza tu baada Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO kutumbuliwa na kufuatiwa na wakurugenzi kadhaa wa shirika hilo.

Je, kuna uhusiano wo wote wa tumbua hii na kukatika katika kwa umeme?

Je, wamekusudia kulipiza kisasi au nini hasa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom