Kulikoni ukimya wa Mbowe?

sitagliptin

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2023
Posts
1,501
Reaction score
2,934
Kama kichwa kinavyojieleza. Mbowe kwa sasa amekuwa kimya na hata akijaribu kufanya kitu au kuongea hasikiki wala kutrend kabisa.

Mbaya zaidi mikutano yake watu hawajitokezi kabisa hali imepelekea kutumia helicopter walau watu wakaizunguke kuishangaa.

Lissu na Mbowe? Amani kweli ipo
 
Sisi Wasukuma ukila hutakiwi kupiga miluzi au kelele. #AsaliTamu
 
Bila shaka wewe ni team Lissu umetumwa kuja kupima upepo wa mwenyekiti wa chama. Ila haina haja ya kuongea na wakati picha zinajieleza.

 
Umelogwa halafu umekufa, ila hujazikwa.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 

Endelea na Samiah Nani kakulazimisha umfuatilie Mbowe?
 
Umetokea sayari gani?
 
Upo wapi wewe? Ghamboshi?
 
Tupo naye tunabugia asalı tulieni huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…