mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,775
- 2,198
Mimi ni mpenzi mkubwa wa kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa kila siku asubuhi na Clounds FM. Sijui kimetokea nini siku za hivi karibuni kwa kuwa magwiji wa kipindi hiki wakiwemo Fetty, Caesar chini ya kiongozi Masoud Kipanya siwasikii tena.
Nasikia sauti za watangazaji wengine ambao wanapwaya sina na kufanya kipindi kikose ladha. Je Masoud na wenzie wamekwenda wapi? Kama wamepelekwa vitengo vingine namsihi Boss Kussaga awarudishe haraka maana kipindi pendwa kinakufa.