Kwenye hela tuna picha ya Nyerere na winyi mpaka leo.
Ushalalamika nako?
Kuna sehemu sheria inalazimisha picha ya rais wa sasa kuwekwa ukutani? Aau ni utamaduni tu?
Kama kuna sheria, iweke hapa tuijadili.
Kama ni utamaduni tu, rais anaweza kukataa picha yake isiwekwe ukutani kama Mkapa alivyokataa picha yake isiwe kwenye noti, na nchi ikaendelea kama kawaida.
There are issues and non issues, we have so many issues right now, we can hardly afford to talk about non issues.