Kulikoni nyongeza ya mshahara kwa mwaka 2016/17

MKUNIRWA

Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
19
Reaction score
12
Jambo la kushangaza na halina ufafanuzi mpaka sasa ni kuona watumishi kwa mishahara ya mwaka huu wa fedha hakukuwa na annual increment vilevile kuna waliokuwa wapepandishwa madalaja na wamepewa barua kabisa lakini hadi leo hawajapewa mishahara yao mipya kwakweli hii sio haki kabisa kwa sababu tunapambana na rushwa na kuwataka wafanyakazi hasa wa serikali kufanya kazi kwa bidii lakini haki zao zimezikwa kwa kisingizio cha kuhakiki mimi nashangaa sana jambo hili unawezaje kusimamisha haki za watumishi kwa kipindi chote hiki bila huruma kwa kisingizio cha kuhakiki kwakweli hii ni kukosa ofu ya mungu.

Wapo wengine walipandishwa vyeo na wakawa wameanza kulipwa mishahara ya vyeo vipya cha kushangaza baada ya zoezi la kuhakiki mishahara yao imekatwa na kurudishwa kwenye scale ya zamani jamani hii sio haki wala ubinadamu hata kidogo, mimi binafsi siamini kama Mh.JPM anayo taarifa pengine hawa maafisa utumishi wanakurupuka na kufanya mambo yasio faa maana ukiwauliza wanasema bwanamkubwa kasema kwakweli hiki kimekuwa kipindi kigumu kwa watumishi wa Umma hee mungu tusaidie.
 
Bandarini hakuna makontena,biashara ndogo na kubwa zinafungwa,pesa ya kulipa itatoka wapi?
Hata akiba ya fedha za kigeni inapungua,mahotel yanafunga biashara,
 
N.B:
Sasa hivi usitupe nukuu ya sheria na kanuni za utumishi wa umma na mishahara,tupatie nukuu ya matamko,tunakuhimiza ufatilie hotuba ukiwa na kalamu karatasi
 
Wanasisa wakisemaa kuwatetea mnasema wakae pembeni magufuli afanye kazi yake hata kama inalenga kuwakandamiza wananchi eeeehhh endeleen kuisoma namba tuuu
 
Limeniuma sana hili jambo,nimemchukia sana dikteta uchwara.
 
Jambo la kushangaza na halina ufafanuzi mpaka sasa ni kuona watumishi kwa mishahara ya mwaka huu wa fedha hakukuwa na annual increment vilevile kuna waliokuwa wapepandishwa madalaja na wamepewa barua kabisa lakini hadi leo hawajapewa mishahara yao mipya kwakweli hii sio haki kabisa kwa sababu tunapambana na rushwa na kuwataka wafanyakazi hasa wa serikali kufanya kazi kwa bidii lakini haki zao zimezikwa kwa kisingizio cha kuhakiki mimi nashangaa sana jambo hili unawezaje kusimamisha haki za watumishi kwa kipindi chote hiki bila huruma kwa kisingizio cha kuhakiki kwakweli hii ni kukosa ofu ya mungu.

Wapo wengine walipandishwa vyeo na wakawa wameanza kulipwa mishahara ya vyeo vipya cha kushangaza baada ya zoezi la kuhakiki mishahara yao imekatwa na kurudishwa kwenye scale ya zamani jamani hii sio haki wala ubinadamu hata kidogo, mimi binafsi siamini kama Mh.JPM anayo taarifa pengine hawa maafisa utumishi wanakurupuka na kufanya mambo yasio faa maana ukiwauliza wanasema bwanamkubwa kasema kwakweli hiki kimekuwa kipindi kigumu kwa watumishi wa Umma hee mungu tusaidie.

kama hauna taarifa ni ww, ila taarifa ilishatolewa, wakati wanasitisha kwa mda kuajili watumishi pia walisema wanasitisha kupanda madaraja na incriment kwa watumishi wote wa umma.
 
Back
Top Bottom