Kulikoni mbona kuja tz hakuishi?

Kulikoni mbona kuja tz hakuishi?

Joined
Jun 17, 2011
Posts
20
Reaction score
5
Jamani wanaJF wenzangu kilikoni mbona Rais Bush tena kwetu?tena naona kipindi hiki kaja kimya kimya,angalieni ardhi zinauzwa sasa tusije tukauzwa na sisi wenyewe.
 
Ha! Sasa atapokelewa na mstaafu mwenzie maana mkuu wa k.aya yuko kwa wacheza samba!
 
Back
Top Bottom