Kulikoni, mbona CCM na Jaji Mtungi wanataka Tume Huru ya Uchaguzi?

Wahuni hao CCM, wanataka kutuundia Tume Huru kama ile ya Jecha Zanzibar....!!
1640610674407.png
 
Acha wachukue kwa hisani, lakini umma wa walio wengi unajitambua. Isitoshe CDM hawashindani na ACT, bali tunataka chaguzi za haki anayeshinda ashinde kwa ridhaa ya umma. Cha muhimu ni CDM kusema wazi wazi kuwa hawatashiriki uchaguzi ambao tume ya uchaguzi sio huru. Hiyo peke yake inatosha kushusha idadi kubwa sana ya wapiga Kura. Na hata wao wakishinda huku umma ukiwa haujajitokeza kupiga kura, lazima wapoteane.
Amen
 
Back
Top Bottom