Mkuu, unazungumzia malipo ya wakandarasi kabda ya awamu ya sita?!!! Tambua kwamba kazi nyingi za serikali(hadi kufikia 90%) zilikua zinafanywa na ama TBA au SUMA-JKT, au Nyanza au Songoro au Wachina na makampuni mengine ya nje ya nchi. So wazawa walikua hawalalamiki kuhusu malipo sababu kandarasi zenyewe walikua hawazipati