mzaziWewe ni mwanafunzi au mzazi?
Wanafunzi wanalalamika mnawapiga sana kosa la wazazi hasira mnamalizia kwaoWewe ni mzazi,mwanafunzi,mwalimu au mwananchi unayeishi jirani na shule?
Mzazi umepata hela ya kifurushi cha internet ila umekosa hela ya tuition ...mzazi
Hahahaha wazazi wa kidigital eti hawataki stressMzazi umepata hela ya kifurushi cha internet ila umekosa hela ya tuition ...
Wazazi kama nyie ndio tunawatafuta tunawachape viboko hadharani ..
Kalipe Ada ya tuition eboooooooooooooooo
Wanafunzi wanalalamika mnawapiga sana kosa la wazazi hasira mnamalizia kwao
sawa mkuu lakini mnawaonea kuwapigaNa hivi umetuchongea huku tutaanza kuwa ning'inizaa kwenye kenchi kama popo
mkuu naona sijaeleweka vizuri.sina agenda yoyote ovu wala sina connection yoyote na wanafunzi wahuni kama wapo jaribuni kuelewa point yangu.kama mzazi ndiye anayelipa pesa ya tuition iweje mwanafunzi apigwe?hii siyo siasa kama unavyodhani nijaribu kusema ukweli na kama ni uongo si ukanushe tuu?Ukikutana na mzaz anayelalamika kwa style yako au kuleta siasa ktk maswala ya nyeti kama ya elimu lazima uweke ????? (Question mark ) lazima atakuwa na agenda fln isiyo sahihi maana kwa mzazi anaejua wajibu na ahki yake ana njia nyingi za kufikisha malalamiko uake ktk mamlaka sahihi ikiwa ni pamoja na kufika shule kuuliza au kushauri jinsi gani swala lifanyike lkn kuja huku ambako hata uongozi wa shule hauwezi kufika kuona uzi wako ni ishara ya uoga na pia ni ishara ya kuwa connected na wanafunzi wahuni na wakosaji na kama kweli ni mzaz wa mwanafunzi wa hiyo shule basi nahc huyo mwanafunzi atakuwa mtu wa makosa makosa..
Mie kuna mtoto aliwahi rudishwa nyumbani kisa hajalipa hela ya tuition. Nikamshika mkono tukaenda wote shuleni walimu wanabaki kujiuma uma. Tuition ni masomo ya ziada ya kumjenga mwanafunzi. Mzazi ana haki ya kumchagulia mwanae akafundishwe wapi.mkuu naona sijaeleweka vizuri.sina agenda yoyote ovu wala sina connection yoyote na wanafunzi wahuni kama wapo jaribuni kuelewa point yangu.kama mzazi ndiye anayelipa pesa ya tuition iweje mwanafunzi apigwe?hii siyo siasa kama unavyodhani nijaribu kusema ukweli na kama ni uongo si ukanushe tuu?
Pole sana mzazi.mbona mnawapiga wanafunzi kwa kosa la kuchelewa kulipa michango ya tuition wakati hawana kosa?kosa la mzazi hasira mnamalizia kwa wanafunzi ? basi muwaite wazazi wao muwapige
Tuition sio lazima walimu msiwalazimishe wanafunzi kusomaKwani kusoma tuition lazima? Walimu wasitafute hela kilazima