Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 744
Pfyuuuuuuufff! Bwana manenge!
nimeona mkuu.maskini mbunge wangu(mbinga magharibi)sijui kimemkuta nini.kama hali yake kiafya itaendela hivi mpaka 2015,nitamshauri ajiweke kando na maswala ya siasa.Ameonekana anatembea kwa magongo. Ingia hapa http://2.bp.blogspot.com/-qOjc_3PkjzY/T13KZf3nNWI/AAAAAAAA7wQ/sB7Jd73oq0Q/s640/CCM6.jpg
Ameonekana anatembea kwa magongo. Ingia hapa http://2.bp.blogspot.com/-qOjc_3PkjzY/T13KZf3nNWI/AAAAAAAA7wQ/sB7Jd73oq0Q/s640/CCM6.jpg
Bado sijaona msingi wa wasiwasi unaoonyeshwa na watu kwa Mhe. huyu. Mbona anaonekana kuwa na SIHA NJEMA TU.
Ameonekana anatembea kwa magongo. Ingia hapa http://2.bp.blogspot.com/-qOjc_3PkjzY/T13KZf3nNWI/AAAAAAAA7wQ/sB7Jd73oq0Q/s640/CCM6.jpg
Kama unene ni siha njema basi tena.....Bado sijaona msingi wa wasiwasi unaoonyeshwa na watu kwa Mhe. huyu. Mbona anaonekana kuwa na SIHA NJEMA TU.
...nadhani hata huyo anayewalipa hizo posho ana matatizo. Mtu kama huyu analipwa posho kwa kulala humo mjengoni? mbona wengi wangepatikana kama unalala then unalipwa?...hovyoooo:A S-frusty2:!:A S 13::A S 13:Hata haya ni maradhi sio?
inawezekanaMindless gluttony!
Hata haya ni maradhi sio?