masingwale
New Member
- Dec 28, 2017
- 2
- 0
Mdanganye tu Mengi, ukwel ni kua ITV haina mvuto tena, TV bora saivi ni azam kwa taarifa ya habari...Itv watch outHaha! Bavicha Bwana wataanza kumponda mengi...wasijue kwamba Mengi anarusha habari kwa utashi wake wa kibiashara.
Hawezi kuhatarisha biashara zake kisa Chadema isiyojitambua.
Aliwabeba mkashindwa kubebeka kaamua kuwabwaga.... Nyakati zinabadilika acheni kulilia kama watoto....
Hata hivyo inabidi mmshukuru sana Mengi na ITV yake kwa jinsi alivyojitolea kuwabeba....
Msamehe, kuna ule usemi "dont argue with....."Baba yangu anahusikaje hapa nisaidie anaingiaje niliyetoa maoni ni mimi mkuu sio baba yangu
Kubalini tu kua Mbowe anawakosesha usingizi..huo ndo ukwelNawapongeza ITV kwa kukataa kurusha habari ya muuza madawa
Hivi leo kulikuwa na mizengwe! Mpaka yenyewe nishaisahau kabisa, tv nishawaachia madogo kuangalia cartoon tuItv siku hizi nawakumbuka kwa mizengwe tu jpili
Ilikuwepoo mimi hiyo nisiwe mnafikii huwa naifatiliaa nicheke na mkwere bhasiiiHivi leo kulikuwa na mizengwe! Mpaka yenyewe nishaisahau kabisa, tv nishawaachia madogo kuangalia cartoon tu
Warushe ya bi mkubwa wako muuza masaburiNawapongeza ITV kwa kukataa kurusha habari ya muuza madawa
Uwe na Akili ya kiumw uache ungese.. Madawa muuze ninyi na maajent wenu wanaowadhamini mnazushia wengine..Nawapongeza ITV kwa kukataa kurusha habari ya muuza madawa
Mwenyekitti wa chama wa milele anaanzaje kuachia ulajiTumeshamchoka aachie Kiti akae mwengine.....
Haha! Bavicha Bwana wataanza kumponda mengi...wasijue kwamba Mengi anarusha habari kwa utashi wake wa kibiashara.
Hawezi kuhatarisha biashara zake kisa Chadema isiyojitambua.
Aliwabeba mkashindwa kubebeka kaamua kuwabwaga.... Nyakati zinabadilika acheni kulilia kama watoto....
Hata hivyo inabidi mmshukuru sana Mengi na ITV yake kwa jinsi alivyojitolea kuwabeba....
Mi mwenyewe ni mpenzi namba moja wa mizengweIlikuwepoo mimi hiyo nisiwe mnafikii huwa naifatiliaa nicheke na mkwere bhasiii
Kwa hiyo unaamini habari zinazouza ni za Chadema tu, kuna watu nchi hii hata hawajui Chadema ni nini?Biashara gani bila watazamaji? Hebu uwe unazishirikisha akili zako basi
Kwanza nasikitika kuona mtu kama wewe mpaka leo unaimani na Mbowe...Utashi wa kumuonyesha jambazi mfojaji wa vyeti lakini si Kamanda Mbowe. Wajue Watanzania si wapumbavu waendelee na utashi wao ila wajue pia Watanzania tuna utashi wa kuangalia TV tuitakayo kutokana na utashi wetu kuhusu mustakabali wa nchi yetu halafu tuone aliyeshika mpini na makali ya kisu ni yupi atakayeumia.
Kwanza nasikitika kuona mtu kama wewe mpaka leo unaimani na Mbowe...
Pili kwenye king'amuzi chako kuna siku umewahi kushikiwa bunduki kuwa lazima uangalie itv ...
Mimi nashauri uisuse kama ulivyoisusa ccm hakuna atakaye kulaumu ...