Biashara gani bila watazamaji? Hebu uwe unazishirikisha akili zako basiHaha! Bavicha Bwana wataanza kumponda mengi...wasijue kwamba Mengi anarusha habari kwa utashi wake wa kibiashara.
Hawezi kuhatarisha biashara zake kisa Chadema isiyojitambua.
Aliwabeba mkashindwa kubebeka kaamua kuwabwaga.... Nyakati zinabadilika acheni kulilia kama watoto....
Hata hivyo inabidi mmshukuru sana Mengi na ITV yake kwa jinsi alivyojitolea kuwabeba....
Kwa Sasa nchi hii kunawapinzani?, Mimi nichofahamu upinzani uliparaganyika kitambo, kuna magenge ya wahuni waliojificha kwenye kichaka cha siasa, na demokrasia, ni wakuogopwa kama ugonjwa wa ukoma grade one, hawafai hata kidogo, kosa walilofanya ni Kula matapishi yao, pesa position MjombaWashapewa onyo kutangaza habari za wapinzani!!!
Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku hawajaipa nafasi kabisa habari ha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa na press conference Leo.
Angalau TBC wao wameitoa taarifa hiyo, wamejitahidi ku-balance.
Sasa ITV huu ni woga au kujipendekeza?
Baba yangu anahusikaje hapa nisaidie anaingiaje niliyetoa maoni ni mimi mkuu sio baba yanguWewe mwenye mpya au jipya unamiliki nini au babako anamiliki nini hapa Tanzania?
Mkuu kumbe bado unapata shida???Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku hawajaipa nafasi kabisa habari ha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa na press conference Leo.
Angalau TBC wao wameitoa taarifa hiyo, wamejitahidi ku-balance.
Sasa ITV huu ni woga au kujipendekeza?
Anahusika mkuu, sababu amezaa popoma. Unawezaje kumuita Mzee anayeheshimika kama Mengi kuwa kanunuliwa? Hivi unajua Mengi ana uchungu na mpwawe Mbowe kuliko hata wewe?Baba yangu anahusikaje hapa nisaidie anaingiaje niliyetoa maoni ni mimi mkuu sio baba yangu
Magenge ya wahuni huwa yanashtakiwa na hatimaye kufungwa sssa kama bado yako upuuzi ni wenuKwa Sasa nchi hii kunawapinzani?, Mimi nichofahamu upinzani uliparaganyika kitambo, kuna magenge ya wahuni waliojificha kwenye kichaka cha siasa, na demokrasia, ni wakuogopwa kama ugonjwa wa ukoma grade one, hawafai hata kidogo, kosa walilofanya ni Kula matapishi yao, pesa position Mjomba
heko! Lowassa, Penye dhiki penyeza rupia, wamesambaa, Kila mmoja na lwake
Unagongwa na mengi weweAnahusika mkuu, sababu amezaa popoma. Unawezaje kumuita Mzee anayeheshimika kama Mengi kuwa kanunuliwa? Hivi unajua Mengi ana uchungu na mpwawe Mbowe kuliko hata wewe?
Haha! Bavicha Bwana wataanza kumponda mengi...wasijue kwamba Mengi anarusha habari kwa utashi wake wa kibiashara.
Hawezi kuhatarisha biashara zake kisa Chadema isiyojitambua.
Aliwabeba mkashindwa kubebeka kaamua kuwabwaga.... Nyakati zinabadilika acheni kulilia kama watoto....
Hata hivyo inabidi mmshukuru sana Mengi na ITV yake kwa jinsi alivyojitolea kuwabeba....
Akija Tundu Lissu si utasema bora nirudi kwa wa mwanzo.Tumeshamchoka aachie Kiti akae mwengine.....
Ifanyie kampeni za kinyume chakeYaani roho inaniuma mno!! ITV ndiyo imekuwa hovyo namna hii? Na nilivyokuwa naipigia debe!! Basi tu!
ITV itapotea muda si mwingi wanaendekeza siasaNimeangalia taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku hawajaipa nafasi kabisa habari ha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa na press conference Leo.
Angalau TBC wao wameitoa taarifa hiyo, wamejitahidi ku-balance.
Sasa ITV huu ni woga au kujipendekeza?