Kulikoni haya mabango

Yatarudi mwakani kipindi cha uchaguzi
 
Hiyo Hali ya mabango huko Dodoma ni cha mtoto huku dar mabango ya barabaran hayazidi 60
 
Wea in ze rihiti traki . Mbeya ile Tv bord ya matangazi mbele ya century plaza ilikuwa off na yenyewe kwa mda kwa sasa ,inajitangaza kama unataka kuweka pale tangazo

Yaan inajitangaza yenyewe
 
Duhh
 
Wea in ze rihiti traki . Mbeya ile Tv bord ya matangazi mbele ya century plaza ilikuwa off na yenyewe kwa mda kwa sasa ,inajitangaza kama unataka kuweka pale tangazo

Yaan inajitangaza yenyewe
Kwa tafsiri nyingine kuwa 'inajiuza' (yenyewe). Hii ni hatari sana kwa ustawi wa jamii.
 
Hata Dar yako kibao hayana tangazo lolote, nilishafikiria kufanya hiyo kazi ya kuyapiga picha niyalete hapa, asante mleta mada
 
Ukiona bango lipo tupu ujue muda wa tangazo umeisha,mwenye bango hawezi kuweka tangazo lako mwaka mzima wakati umelipia miezi 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…