Bongo fm imeajiri watangazaji wake wote kwa mikataba na wote wana elimu ya utangazaji na hao wanaotangaza vipindi vya michezo,wengi wao wamecheza mpira wakiwa umitashunta na umiseta.Wanaufahamu mkubwa sana na michezo ndio maana mimi huwafuatilia,baadi yao hivi sada wanasomea ukocha huku wanatangaza,na baadhi yao huuza wachezaji au taarifa kuhusu wachezaji fulani,mfano ukitaka taarifa kuhusu wachezaji kutoka congo muulize mwayombo,mpekeo mtandala,ukitaka taarifa za wachezaji wa kiarabu muulize upete.Hivyo msishangae kwanini mimi huwafuatilia,wako well informed sana.Abdul ghafaar ali chissano ni mtu anayeujua kuucheza mpira haswaaa,angekutilia mkazo kipaji chake,huyu angechezea taifa stars.