fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,739
- 7,445
- Thread starter
-
- #21
Kusikiliza online ni lazima uwe una bando,unadhani watu wote wanaweza kumudu kulipa bando kusikiliza redio?Ni muda sasa wa kwenda digital zaidi, izi radio ni wakati sasa ziwe online zaidi Kuliko kutegemea hayo ma tune frequency ambayo ni wachache Wana muda Mimi ni msikilizaji Mkubwa wa radio za Kenya ila zote nasikiliza Online tu kwenye TuneIn
Kwa aina ya vipindi unavyoona kwenye TV yako utasema TV haina maana ila sio kweli mzee hata radio pia ni vile radio zipo kwenye mifumo ya biashara zaidi mfano mimi nipo hapa SA napotoka home lazima niweke radio asubuhi hii kusikiliza watasema N1 au N2 bara bara ipo sawa haijafungwa kwa sababu ya ajali na vitu vingine ili nitumie bara bara ingine kwa hiyo kupata habari za mtaani unataka tuangalie kwenye social media sio hayo maendeleo mliyokua nayo Tanzania ni kiboko..Hebu niambie katika Dunia ya social network, utaenda meza ya magazeti ili ufanye nini?
Yaani ukae kusikiliza dj leo atapiga nyimbo gani redioni wakati una app kama youtube?
Taarifa ya habari uisubiri mpaka saa mbili usiku, tena utangaziwe habari iliyochujwa kwa manufaa ya watu fulani wakati habari hiyo unaweza kuipata kwenye social network muda ule ule inapotokea tena bila kuchujwa.
Ndugu, dunia ilipofikia, TV, redio na magazeti hayana maana
Hata kipindi zinaingia TV flat, wenye machogo walikua wabishi, lakini leo hii ukiwa na chogo watu wanakushangaa.
screen za television ndio zipi hizo?Vipi kuhusu abdul ghafar ali chissano?,Issa Suleiman?Nira Juma,Emmanuel Mwayombo?,Watangazaji wa michezo wapo wengi sana,hiyo sio sababu.Pili mara nyingi hutangaza mpira kupitia screen za televisheni,hawaendi kila mahali mpira unapochezwa
upo mjini ndio mana,hujatembelea vijijini wewe! Mtu anasimu kubwa anatumia kwa ajili ya nyimbo na kupiga picha,wengine hata hiyo simu hana wana maredio makubwa yanayomilikiwa na baba mwenye mji,matukio saa moja asubuhi,DW kiswahili saa7 mchana, BBC kiswahili saa12 jioni, TBC taarifa ya habari saa mbili usiku. betri mbili tiger zinamaliza wiki tatu,wewe useme havina maana?Hebu niambie katika Dunia ya social network, utaenda meza ya magazeti ili ufanye nini?
Yaani ukae kusikiliza dj leo atapiga nyimbo gani redioni wakati una app kama youtube?
Taarifa ya habari uisubiri mpaka saa mbili usiku, tena utangaziwe habari iliyochujwa kwa manufaa ya watu fulani wakati habari hiyo unaweza kuipata kwenye social network muda ule ule inapotokea tena bila kuchujwa.
Ndugu, dunia ilipofikia, TV, redio na magazeti hayana maana
Hata kipindi zinaingia TV flat, wenye machogo walikua wabishi, lakini leo hii ukiwa na chogo watu wanakushangaa.
Lakini wengi wanazoKumbuka sionwote wana simu zinazoweza kufanya hayo usemayo
Ni suala la muda tu kila kitu kitabadilika.upo mjini ndio mana,hujatembelea vijijini wewe! Mtu anasimu kubwa anatumia kwa ajili ya nyimbo na kupiga picha,wengine hata hiyo simu hana wana maredio makubwa yanayomilikiwa na baba mwenye mji,matukio saa moja asubuhi,DW kiswahili saa7 mchana, BBC kiswahili saa12 jioni, TBC taarifa ya habari saa mbili usiku. betri mbili tiger zinamaliza wiki tatu,wewe useme havina maana?
Ni ishu ya muda tu mkuu Isanga family ishu ya TV na redio itakua historia.Kwa aina ya vipindi unavyoona kwenye TV yako utasema TV haina maana ila sio kweli mzee hata radio pia ni vile radio zipo kwenye mifumo ya biashara zaidi mfano mimi nipo hapa SA napotoka home lazima niweke radio asubuhi hii kusikiliza watasema N1 au N2 bara bara ipo sawa haijafungwa kwa sababu ya ajali na vitu vingine ili nitumie bara bara ingine kwa hiyo kupata habari za mtaani unataka tuangalie kwenye social media sio hayo maendeleo mliyokua nayo Tanzania ni kiboko..
Mkuu hicho kitu hakipo kwenye Nchi zetu ambazo Serikali inategemea kodi kubwa kutoka kwenye bando wakati Nchi ili iendelee wape gharama nafuu kwenye bando hapo Kenya tu unakuta matatu ina WiFi ya bure kitu ambacho kwetu sidhani kama ni kitu cha leo hicho sijatolea mfano wa data kuibiwa maana unaweka hela siku mbili unapata meseji 75% ya data imeisha ndio useme kuna siku mtaacha kusikiliza radio sio leo wala kesho..Ni ishu ya muda tu mkuu Isanga family ishu ya TV na redio itakua historia.
sidhani hata kama tuna miaka 15 mbeleni kuliona hilo.
Kabisa naona wanataka kufosi tu mambo.TV, redio na magazeti havina maana tena dunia ya sasa.
Ni machaguo.Hata kutumia fax kwa Tz imepitwa na wakati ila kuna nchi zimeandelea mara 1000 ya Tz bado wana tumia mfumo wa fax
Mnapata wapi muda wa kusikiliza redio?Ni siku ya 3 leo,vipindi vyote vya michezo havitangazwi, wanapiga miziki tu bila hata kuomba radhi au kutoa taarifa yoyote ile
Ki bongo bongo,watu wengi hawana access ya digital media, nadhani hata 40% haifiki, ndo maana FM transmission lazima itawale, pia internet connectivity ni changamoto kwa maeneo mengi ya tz hasa vijijini, FM haitumii internet,ukitia transmitter hata kijijini unasikika vizuriNi muda sasa wa kwenda digital zaidi, izi radio ni wakati sasa ziwe online zaidi Kuliko kutegemea hayo ma tune frequency ambayo ni wachache Wana muda Mimi ni msikilizaji Mkubwa wa radio za Kenya ila zote nasikiliza Online tu kwenye TuneIn
Hatufanani wote bro,maisha ndio yalivyoMnapata wapi muda wa kusikiliza redio?
yawezekana wengi wanazo lakini si wote huzitumia kwa njia unayoongelea weweLakini wengi wanazo
Hivi bado mnasikiliza habari ziitwazo za michezo?!Ni siku ya 3 leo,vipindi vyote vya michezo havitangazwi, wanapiga miziki tu bila hata kuomba radhi au kutoa taarifa yoyote ile
wanatumia tv kutangaza,kwani si unaona hayo mashindano ya kombe la klabu bingwa afrika,unadhani watangazaji wa azam huenda huko michezo inapochezwa? la hawaendi bali wanatangaza kwa kuangalia kwenye tvscreen za television ndio zipi hizo?
kwani tusisikilize? kwani binadamu wote wana matamanio sawa? Hapa ccm inaingiaje?Hivi bado mnasikiliza habari ziitwazo za michezo?!
Hakika tunasafari ndefu sana na ccm itaendelea kutawala